Mtitu na mke wake wakingia ukumbini huku wakicheza.
…Wakiwa mbele ya wageni waalikwa.
Wasanii wa filamu, Sabrina Rupia ‘Cathy’ (kushoto) na Mayasa Mrisho ‘Maya’ (kulia) walikuwepo.
Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper (kulia) akiwa na msanii mwenziye, Shamsa Ford, walipamba hafla hiyo.
Mkali wa kughani mashairi, Mrisho Mpoto, akiwa na mkewe.
Wasanii wa filamu wakifungua shampeni.
Mtitu na mkewe wakikata keki.
MSANII wa filamu Bongo, William Mtitu, amefunga ndoa na mwanadada
anayejulikana kwa jina la Yovita Swai, Jumamosi iliyopita katika Kanisa
la Mtakatifu Joseph, jijini Dar es Salaam na sherehe ikafanyika ukumbi
wa Urafiki, Ubungo.
No comments:
Post a Comment