Mwigizaji mwenye mbwembwe nyingi kutoka ndani ya tasnia ya filamu
Bongo Christina Manongi 'Sintah' amemtaka video queen wa Bongo Agness
Gerald Masogange kufunga bakuli lake (kunyamza kimya) na kuacha
kumapakazia meneno machafu kwenye vyombo vya habari.
Akizungumza na Teentz.com mapema leo Sintah amesema kuwa amesikitishwa
sana na kitendo cha Agness kumtaja yeye (Sintah) kuwa ndiye anahusika
na kuisambaza kwenye mitandao video inayomuonyesha Agness akiwa mtupu
huku pia akionekana kufanaya matendo kadhaa ya kingono.
"Nimemsikia na isitoshe kuna watu wengi wameniambia juu ya hilo la
kunitukana na kunitaja redioni kuwa nahusika, mimi sijui lolote
awaulize marafiki zake ambao mimi naamini ndiyo wanahusika kuzisambaza
kwani hata kwenye BBM yangu ni wao ndiyo walinitumia namuomba afunge
bakuli lake la siivyo nitazitoa zaidi kwani ninazo pati wani mpaka 3 na
zote nimetumiwa na marafiki zake ambao yeye anacheka nao lakini hajui
kama ni ma-sn***ch" alisema Sintah
Akiendelea zaidi Sintah amefunguka kuwa kamwe hajui lolote kuhusu
kamera anayoisma Agnes, kwani binafasi hajawahi kukutana naye na
alimjua kupitia nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva kwa kuwa msichana
huyo anapenda kuuza sura na zaidi hajui hata anapokaa.
BONYEZA HAPA KUMSIKILIZA ZAIDI:
No comments:
Post a Comment