Thamani ya hisa za tovuti
mashuhuri ya kijamii - Facebook zimeshuka kwa kiwango cha asilia mia
nane, kufuatia kuchapishwa kwa mara ya kwanza, matokeo ya utenda-kazi
wake tangu kampuni hio iamue kuwa kampuni ya umma mnamo mwezi Mei.
Mwandishi wa BBC wa maswala ya biashara amesema
kuwa wawekezaji wana wasiwasi kuwa kampuni hio bado haijabuni njia
muafaka ya kufaidi kutokana na mashabiki wanaoendelea kuongezeka katika
tovuti yake kupitia kwa simu.
Mwanzilishi wa tovuti hio ya Facebook, Mark
Zuckerberg, aliwaambia wawekezaji kuwa matangazo ya kibiashara yanafaa
kumpa mtumiaji wa tovuti hio .
No comments:
Post a Comment