Jacob Steven ‘JB’.
Katika kuonesha kuwa jamii inafuatilia kwa ukaribu kazi za wasanii
wao, Ijumaa Wikienda limemwagiwa madai mazito kuwa ndani ya tasnia ya
filamu za Kibongo kuna baadhi ya mastaa wanatajwa kwa ukuwadi na ushoga.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, kuna wasanii, tena wenye majina makubwa ambao wamekuwa wakihusishwa na kuwatafutia mastaa wa kike soko la ngono kwa matajiri wanaofahamika mjini.
“Siyo ukuwadi tu, hata mambo ya ushoga yametawala, nyie (Ijumaa Wikienda) waonyeni, wakiendelea itatengenezwa listi ya kuwaumbua,” kilisema chanzo chetu.
Baada ya kupata nyeti hiyo, Ijumaa Wikienda lilizungumza na Jacob Steven ‘JB’ ambaye ni mwenyekiti wa Bongo Movie ambapo majibu yake yalikuwa ya kurukaruka.
“Wewe nani kakwambia? Naomba unitajie hao wenye tabia hizo ili niwachunguze. Kwanza swali lako halijajitosheleza,” alisema JB huku mazungumzo yakiendelea hivyo hivyo hadi mwisho bila kueleweka.

No comments:
Post a Comment