linavyoonekana pembeni |
Roli lililobeba kontena la ft 40 lilikuwa likitokea njia panda ya manzese kuelekea tandale lilinasa katika mtaro uliochimbwa na wajenzi wa barabara kwa ajili ya kupanua barabara, dereva alilinusuru gari hilo lisipinduke baada ya wasamalia wema kumpigia kelel kuwa anakoelekea kuna mtaro,
tangu barabara zianze kukarabatiwa kumekuwa kukitokea ajali nyingi za hapa na pale kutokana na magari mengi na piki pikikukimbia foleni na kuamua kupitta katika barabara ya vumbi inayochimbwa na kusababisha kuwagonga wapita njia ambao hupita humo kama njia ya miguu @SOURCE: Somewhere Blog
linavyoonekana kwa mbele |
No comments:
Post a Comment