Mtunzi: Godwill Sanga
Makazi: Arusha, Tanzania.
Contacts: 0756 979566
0657 35728
Makazi: Arusha, Tanzania.
Contacts: 0756 979566
0657 35728
Ilikuwa ni alhamisi tulivu yenye upepo mwanana huku watu wakiendelea
na shughuli za ujenzi wa taifa.Madaktari nao walikuwa bise na taaluma
yao ya kuokoa roho za watu.Ndani ya hospitali ya lugalo wagonjwa wengi
walifurika huku madakaktari nao wakiendelea kutoa huduma, kama ilivyo
ada ndugu wa wagonjwa walikaa nje kusubiri taarifa za maendeleo ya
wagonjwa wao, basi hali ilikuwa hivyo kwa mzee John ambaye alikuwa
akimngoja mkewe amletee nuru dunia yaani ameletee mwana atakae kuwa
mrithi wake wa baadae. Akiwa amejiinamia mzee John aliwaza sana ni namna
gani atampenda huyo mtoto wake mpendwa atakae zaliwai ukizingatia kuwa
huyo ndie atakae kuwa kifungua mimba chake pasi wazo hilo kuisha jingine
la jinsia yai mtoto liliingia la hasha! hilo halikumchanganya sana mzee
John kwa alijikuta akisema"yote namwachia Mungu". Ndani ya hospitali
ya Lugalo madaktari waliendelea kumhudumia mkewe na mzee John, hali
haikuwai nzuri sana kwa upande mkewe na mzee John kwani alitokwa na damu
nyingi sana wakati wa kujifungua hali iliyomfanya Dr.Martin awaambie
madaktari wenzake "doctors her condition is get worse she bleed a lot"
baada ya kauli hiyo daktari akamwagiza nesi ampeleke mgonjwa chumba cha
wagonjwa mahututi( I C U) bila kupoteza wakati mgonjwa alikimbizwa ICU
kisha jopo la madaktari watatu kufuata.Juhudi za kunusuru maisha ya
mtoto na mama ziliendelea, lakini mara dkt.Martin aligeukia kipimo
kilochokuwa kikionyesha mwendo wa mapigo ya moyo ya mgonjwa.oooopssss
daktari aliguna kwa mshangao..........
je nini kitaendelea? kesho usikose kuingia somewhere blog ili kujua mwendelezo wa story hii....
No comments:
Post a Comment