HILI NDIO TANGAZO LA DURACELL ALILOFANYA JAY Z (VIDEO)
Pamoja na umri wake wa miaka 42 akiwa analingana na C.E.O wa Global Publishers Mr Erick Shigongo, rapper Jay Z bado anazidi kumake money.. ni mmoja kati ya wanahiphop wachache wenye mafanikio makubwa sana duniani akiwa anamiliki dola za kimarekani zaidi ya milioni 450 according to report ya 2011, akiwa ameuza zaidi ya kopi milioni 50 za Album duniani na pia akiwa anamiliki tuzo 14 za Grammy.
Lengo la hiyo sentensi hapo juu ni kukujulisha kwamba hili ndio dili jingine alilolipiga, ni tangazo la betri za Duracell.. chukua time yako kulichek kwenye hii video.
No comments:
Post a Comment