BEEF LA IRENE UWOYA NA FLORA MVUNGI KUNA KITU BEHIND ZE SCENE....!!!
Wiki
iliyopita kumekuwa na beef kali sana linaloendelea kati ya Irene Uwoya
na Flora Mvungi. Katika beef hili imedaiwa kwamba mwanadada Uwoya
amemchana live mpenzi wa Flora Mvungi i.e H-Baba kupitia gazeti la
Baabkubwa kwamba katika wanaume ambao hawezi kurudiana nao, H.Baba ni wa kwanza kwasababu ni ‘mchovu’ kitandani, yaani hafai katika mapenzi kwa sababu hana stamina katika uwanja wa 6 kwa 6!!!!
Flora
Mvungi naye akaja juu kupitia Clouds FM na kudai kwamba maneno ya
mwandada Uwoya ni maneno ya mkosaji na akadai zaidi kwamba H-baba hana
tatizo katika mapenzi na yuko fiti ile mbaya, yaani H.Baba humpagawisha kwa an ‘earth shaking and mind-blowing sex’ na huenda yeye (Irene) alikuwa anadate na H. Baba mwingine.
Muigizaji
huyo pia amesema anashangaa kwanini Irene ameendelea kuongea sana
kuhusu mpenzi wake wa zamani H.Baba wakati kila mmoja ana maisha mapya
na mpenzi mpya. Amesema hafurahishwi na tabia hiyo ya Irene ya kumsema
na kumzushia scandal H.Baba ambaye huwa hapendi kuzungumza mambo hayo
hadharani, tena kwenye vyombo vya habari.
Na sasa vita vya maneno kati ya waigizaji hao vimechukua sura mpya. Juzi Irene Uwoya alisikika akiongea na Clouds FM na kusema Flora na H.Baba wamemchokoza.
Alisema
yeye pia anamshangaa Flora kwa kupakaza maneno kuwa aliongea na
magazeti ‘kumvua nguo mpenzi wake wa zamani H’Baba kuwa ni zezeta
kitandani kitu ambacho alikanusha kukisema.
Irene alisema kwanza anamuona Flora ni mshamba na kumfananisha na ‘vocha’ na kamwe sio saizi yake. Aliongeza kuwa yeye si mtu wa kutembea na H.Baba na kudai kuwa wako pamoja na Flora kwakuwa wote ni washamba na wote amewafananisha na vocha.
‘Sasa leo nasema kuwa kweli H-Baba hajui mapenzi, hana lolote, ni tegemezi na simtaki, alisema. Akiongea kwa jaziba, Irene aliongeza kuwa yeye yupo level zingine na anawadharau wapenzi hao.
No comments:
Post a Comment