Sunday, April 14, 2013

SUNDAY SWAGGAZZ!!!

Kweli Uvivu KIPAJI...!!
MTOTO: Baba naomba hiyo glass.
BABA: Njoo uchukue mwenyewe.
MTOTO: Baba bwana naomba.
BABA: Halafu we mtoto ntakuja kukupiga.
MTOTO: Basi ukija kunipiga njoo na hiyo glass...!!

Mume alienda shambani akamuacha mkewe na ndugu yake nyumbani,aliporudi hakuwakuta nyumbani, mara akackia sauti kutoka chumbani "SHEMEJI LAMBA HARAKA TUMALIZE NATAKA NIKAOGE, Mume kuckia vile aliufungua mlango kwa hasira akawakuta wanacheza KARATA.. mume hoii....

Kumbuka:
1: Utaonja vyakula vyote, lakini maji ya ugali hayaonjwi...
2: Hata ukiwa bingwa wa kuchukia uchafu, huwezi kuchimba shimo la taka sebuleni....
3: Hata uwe na bahati vipi, huwezi kuokota nyumba....
4: Mwanaume hata aumwe vipi haendi leba...
5: Uzuri wa mwanamke tabia, sura hata mbuzi anayo. 6. Hata Dj Awe Maarufu Vipi Hawezi Kupiga Wimbo Wa Taifa Disco. 7. Hata Gari Ijae Vp Dereva Hakosi Siti, 8. Hata Uwe Sharo Vp Bafuni Lazima Uingie , 9. Hata Uwe Na Tamaa Vp Huwezi Kutamani Kifo, 10. Hata Uchague Vp Huwezi Kuchagua Sanda!. 11:Mke wa mtu ni sumu, lakini mume wa mtu ni maziwa!.

Swaga za polisi anapofukuzia demu.
Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho, bila ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo la 2kio, nakueshimu km ninavyoheshimu lindo, ww ndio IGP wa moyo wangu. Upo kimya, nina RB ya penzi lako, nijibu nifungue jalada rako ndan ya moyo wangu. Usifanye moyo wangu ukaenda mbio km difenda mpya. Nakuhakikishia usalama km msafara wa Rais, Usiniweke roho juu km maandamano ya WAISLAM,

MAHARAGE Mboga Kuku Mbwembwe Tuu, Silaha Pesa Bastola Mzigo, Heshima Pesa Shikamoo Kelele tuu, Upara Bila Elimu Sawa na Kovuu, Chezea Mshahara Usichezee Kaz, iga Kaz Usiige Matumiz, Ukitaka Kujua short cut Mjin Kula Nauli,

John: Switie nataka tu-have sex

Lucy: Saa hii ama baadaye

John: saa hii

Lucy: kwa bed ama kwa sofa?

John: sofa

Lucy: 2-seater ama 3- seater?

John: ama twende tu bed

Lucy: juu ya sheets ama chini ya
sheets?

John: juu ya sheeqts

Lucy: na condom ama kavu kavu?

John: na condom

Lucy: Dume ama Salama?

John: Salama

Lucy: Flavoured ama normal?

John: flavoured

Lucy: banana flavour ama strawberry?

John: strawberry

Lucy: uko nazo ama unanafata shop?

John: nitaendea shop

Lucy: shop ya Mangi ama Mpemba?

John: Ama tukiss tu,wachana na sex

Lucy: mdomoni au shavuni?

John: Huo ni ujinga sasa!

Lucy: ujinga mwingi au kidogo?

John: by the way nishakupiga chini!
Ngoja nisake demu mwingine!

Lucy: Mrefu ama height yangu?

John: TOKA HAPA! TOKA, Kwenda!

Lucy: TENA HUTAKI SEX??!!

John: kwa sasa nita-mustarbate tu!

Lucy: na sabuni ama vaseline

John: na chilli sauce!!! Matako we

Mwalimu Wa Historia Alikuwa Darasani Na Kuwauliza Wanafunzi
Mwalimu: Eeehe ! Ni Nani Aliyemuua Chifu Mkwawa?
Mwanafunzi 1: Aku Sio Mimi !
Mwanafunzi 2: Wallah ! Sihusiki !
Mwanafunzi 3: Kwanza Mimi Jana Sikuja Shule !
Mwalimu Alipoona Kuwa Wanafunzi Wote Ni Majuha Akaamua Kumuita Mkuu Wa Shule, Mkuu Wa Shule Alipoenda Kuwauliza Lile Swali Mambo Yakawa Vilevile.  Ndipo Alipomuita Mwalimu Pembeni Na Kumnong'oneza "Lakini Una Uhakika Muuaji Yupo Darasa hili?

Hii kali.
Mke: mume wangu huyu jiran ananitongoza.
mume: we mkubalie halafu mwambie aje mfanyie hapa, mi najificha uvunguni nimuoneshe kaz.
Sku ya kaz iyooo.. Jamaa akiwa amevua nguo dem kauliza mbona unamakovu hiv?
Jamaa: mi huwa nafumaniwa sana, ila nimewaua wote walonifumania jumla 19.
Jamaa akala mambo akaondoka salamaa...!!!
Mke: mume wangu hunipendi sasa umefanya nini?
Mme: we msenge nini? Ulitaka niwe wa 20 kuuliwa

2 comments:

  1. hongera sana kwa kutupa habari na vituko
    BIG UP
    Saada mussa

    ReplyDelete

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...