Sunday, April 14, 2013

PADRI ATAKA KUMUUA MPENZI WAKE WA SIRI...AKWAMA


Bi Celestina Ananius(35) amenusurika
Kuuawa na Padri wa kanisa katoliki
parokia ya hombolo iliyoko dodoma kwa
jina la celestine john nyaumbana
ambaye kwa Sasa anaishi kwenye Makazi
ya Katoliki Mbezi kwa ajili ya Masomo.
Dada huyo anasema amekuwa katika
mapenzi na padri huyo tangia akiwa
Fratel,akawa Shemasi na sasa ni padri
nasuala hilo ni siri yao na wazazi wa
pande mbili hadi wamezaa mtoto anaitwa
Agnes(3) .
Bi Celestina ambaye anaishi Dodoma
alikuja Dar kumfuata Mpenzi wake huyo
ili ajue hatima ya huyo mtoto wao....
Sasa wakati wapo dar padri huyo
alimuomba mpenzi wake huyo watoke
kidogo kwenda kutembea maeneo ya
kiluvya...
Walipofika huko wakati wapo katikati ya
poli padri huyo alishuka kwenye gali na
kumshambulia dada huyo kwa
madhumuni ya kumuua na kupoteza
ushaidi ila hakufanikiwa kumuua .....
Taarifa za Polisi Mkoa wa Pwani
zinaonyesha kuwa Mwanamke huyo
aliokolewa na Wasamalia wema na
kukimbizwa Hospitali ya Tumbi Kibaha
kwa matibabu!!!

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...