Monday, April 15, 2013

MANCHESTER YAILAZA CHELSEA , YATINGA FAINALI FA

Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero, akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Chelsea leo wakati wa mchezo wao wa nusu fainali ya kombe la FA kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.

Samir Nasri akiifungia Manchester City bao la kwanza katika dakika ya 34 ya mchezo dhidi ya Chelsea. Man City wameshinda kwa bao 2-1.

Mshambuliaji mahiri wa Chelsea, Demba Ba (29), akiifungia timu yake bao pekee wakati wa mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Manchester City kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...