Friday, April 19, 2013

KIBAKA WA SHOW ZA KWENYE MAGARI ANASWA!!

Tukio hilo limetokea saa kamili usiku
mara baada ya kijana huyo kukamatwa
na vijana wa 4C NINJAS waliokuwa
wakifanya ulinzi kwenye magari
yaliopaki bara bara  ya migombani
( migombani street) katika eneo la
Mikochen na ndipo aliponaswa na
kuanza kuambulia kipigo .
awali kijana huyo ambaye sikuweza
kupata majina yake kutokana na vurugu
za kumpiga k uendelea katika eneo hilo
amablo magari yamepaki nje ya bara
bara huku wamiliki wake wakiwa
kwenye msiba ,alijitete kuwa ametoka
kazini ambapo ni kazini kwake
amesema ni karibu na sehemu
wanayopaki
mabasi ya Summri .
wamiliki hao walionekana kuwa na
hasira dhidi ya mtu humiwa huyo
ambaye aliweza kukabiliwa vikali na
kuwekwa chini ya ulinzi ili kusubiri
maamuzi zaidi hadi naondoka eneo la
tukio hatma ya kijana huyo bado
haijajulikana mikononi mwa raia hao
ambao wamegoma kumpeleka polisi.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...