Friday, September 21, 2012

Mshiriki wa Big Brother Goldie kufanya Wimbo na AY


Baada ya mshiriki huyu wa Big Brother star game  kuja pande za 254 nchini kenya kimya kimya na kufanya collabo na msanii anayejulikana kwa jina la Navio.Sasa habari ni kwamba Goldie anatarajia pia  kutua hapa bongo kuja  kufanya collabo na Ambwene Yesaya a.k.a AY katika studio ya MJ record.Tunatarajia muonekano mpya wa nyimbo hiyo mpya ambayo itafanywa na Goldie pamoja na Ambwene Yesaya a.k.a AY.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...