Thursday, September 13, 2012

MAAJABU.....Angalia PICHA Huyu ndo FARASI mwanamke aliyejifungua nchini NIGERIA


.Tukio limetokea wakati mwanamke huyu akiwa kanisani kwenye maombi huko Sapele-Benin Expressway Edo state ambapo alijifungua wakati wakiwa kwenye maombi.
Mtandao wa Naijagists umeripoti kwamba mwanamke huyu kabla ya kujifungua
alipiga sana kelele kama yuko kwenye chumba cha kujifungulia wakati maombi yakiendelea ambapo damu zilianza kumtoka sehemu zake za siri na baadae kujifungua huyu mtoto wa farasi ambae alifariki kabla ya waandishi wa habari kufika kwenye hilo kanisa.
Mtumishi wa Mungu aliepata nafasi ya kuzungumza baada ya hii ishu kutokea amesema wamekua wakishuhudia miujiza mingi ikifanyika kanisani kwao lakini hili la mwanamke kujifungua mtoto wa farasi ndio limetokea kwa mara ya kwanza.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...