Thursday, September 13, 2012

HII NDIO TATTOO YA CHRIS BROWN WATU WANAAMINI KAMCHORA RIHANNA


Tattoo mpya ya mwimbaji star Chris Brown shingoni imechukua headlines kwa sasa kutokana na kufanana na picha ya Rihanna aliyopigwa baada ya ugomvi kutokea kati yao wakati huo wakiwa wapenzi mwaka 2009 ambapo leo mtangazaji Ryan Seacrest amemkariri Chris Brown akikanusha kwa kusema hiyo ni picha ya mwanamke mwingine tofauti na Rihanna.
.
kushoto ndio tattoo yenyewe alafu kulia ni picha iliyopigwa muda mfupi baada ya Rihanna kupigwa.
Umeionaje hizi , zinafanana? FUNGUKA!!! TIRIRIKA.....

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...