Sunday, September 16, 2012

Do you think you are beautiful/handsome, and sexy ?Diamond Anakutaka

Do you think you are beautiful/handsome, and sexy na una uwezo wa kuwafanya watu washindwe kuhamisha macho yao mbele vioo vya TV zao?. Kama umebarikiwa hizo sifa then msanii anayetengeneza mkwanja mrefu zaidi kwa sasa hivi in Tzee music Industry Diamond Platinumz anakutafuta.

Siku ya tarehe 22 ya mwezi wa tisa kuanzia 5 asubuhi mpaka saa tisa katika mgahawa wa Lady 

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...