BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Tuesday, September 18, 2012

Bongo Movies wazidi kujidhalilisha Baada ya Aunt Ezekial sasa ni Wema Sepetu



Baada ya Ant Ezekiel  kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta  katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana amefaa nguo fupi ambayo sio ya heshima na hiki si kitu kizuri kwa mashabiki au hata mtanzania.Kwani hapo ndipo unajishusha thamani pia hata mashabiki wako hawata nunua kazi zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho wa siku jina lako lipate kufika mbali lakni kama ni hivi sijui kama tutafikia.

1 comment:

  1. kweli hii inathibitisha UKAHABA WA WADADA WA BONGO MOVIE.NEY WA MITEGO HAKUKOSEA KITU

    ReplyDelete

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...