Thursday, August 2, 2012

PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANENANE MOROGORO


Mwenyekiti wa kundi la wajasiriamali la 'Mongo', Bi Emiliana Mtegete (wa pili kushoto, kofia nyeupe) akimzawadia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, gome la mti liitwalo 'Lubugu' kwa Kihaya, kwa ajili ya kushonea suti.  Kwa mujibu wa Mtegete, gome hilo lina thamani ya sh. 60,000.  Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiq, na wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera.
Waziri Mkuu akifurahia zawadi hiyo.
...Akiondoka katika viwanja hivyo vya maonyesho.
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana  jioni alifungua  Maonyesho ya Wakulima (Nane Nane)  ya Kanda ya Mashariki yanayojumuisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Tanga na wenyeji Morogoro.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...