Wednesday, August 8, 2012

NYUMBA YA PROFESA J


Hii ni nyumba ya Legend wa bongofleva Profesa J iliyopo Mbezi ya Kimara Dar es salaam, Prof alisema Marehemu Complex ndio alimshawishi kununua hicho kiwanja na kujenga nyumba.
Hii nyumba aliijenga kutokana na pesa ya muziki peke yake.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Hii ndio masterbedroom ya Prof.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...