BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Wednesday, July 25, 2012

Vituko na jadhba kanisani

Video:Ushuuda Fake Makanisani Kumbe Wachungaji Huwalipa Wanaotoa Ushuhuda

Kufuatia upekuzi uliofanyiwa kasisi wa kanisa la Fire Gospel Ministries, mengi yamefichuka kuhusiana na yanayojiri katika kanisa hilo. Kasisi wake Michael Njoroge inadaiwa huwaombea watu ili kuwakomboa kutokana na matatizo mbalimbali yakiwemo magonjwa. Huduma hizo hazitolewi bure zinalipiwa katika kile kinachoitwa mbegu zipandwazo na hao waumini wa kanisa hilo. Na kama anavyotuarifu Lolani Kalu, ndani ya kanisa hili huwa kuna jazba za hali ya juu na vitimbi vya kila aina katika itikadi ya kipekee.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...