ORIFLAME TANZANIA YAZINDUA KIJARIDA
Baadhi ya bidhaa za Oriflame pamoja na kijarida kilichozinduliwa.
Mgeni wa heshima, Mh. Shyrose Bhanji akisoma risala.
…Akiwa na kijarida hicho kama ishara ya kukizindua.
Mkurugenzi
wa Oriflame Tanzania, James Mwang’amba (kulia), akimpa mkono wa
shukrani mgeni rasmi baada ya uzinduzi huo, Mh. Shyrose Bhanji.
Mmoja wa wataalam wa vipodozi vya Oriflame akitoa elimu ya vipodozi vya kampuni hiyo.
Meneja Mauzo wa Oriflame hapa nchini, Fortunata Nkya, akiwaelimisha jambo wadau waliohudhuria uzinduzi huo.
Baadhi ya viongozi wa Oriflame Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Sehemu ya wadau waliohudhuria uzinduzi huo wakinyoosha juu kijarida hicho kama ishara ya kukizindua rasmi.
Fortunata Nkya akimpa zawadi ya vipodozi mgeni rasmi.
Mmoja
wa wakurugenzi wa Oriflame Tanzania, Jallya Mpenzile, akiwahamasisha
wasiojiunga na Oriflame kufanya hivyo haraka ili kujikomboa.
Wadau wakiwa makini ukumbini hapo.
Mgeni rasmi akiwaaga wadau.
Kampuni ya vipodozi asilia ya Oriflame Tanzania yenye makao yake
makuu nchini Sweden leo imezindua jarida la bidhaa zake litakalotumika
kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Julai hadi Septemba. Katika
uzinduzi wa kijarida hicho uliofanyika Jengo la Benjamin Mkapa Tower
jijini Dar es Salaam, mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Afrika Mashariki,
Mh. Shyrose Bhanji.
No comments:
Post a Comment