Mwimbaji Staa wa B2K Omarion ambae sasa anafanya kazi zake binafsi akiwa chini ya familia ya Maybach ya Rick Ross amezungumzia mambo matatu makubwa.
O ambae sasa amebadilisha jina na kujiita Maybach O amesema amefanya hivyo ili ajihisi mwanafamilia wa Maybach, amekaririwa akisema “Maybach sio Vits, hili ni bonge la gari na sisi sote tunajihisi kuwa kwenye gari kali sana, nimerudi ili nirudishe kitu ambacho nahisi hakipo tena kwenye muziki, nina nyimbo kama ishirini”

No comments:
Post a Comment