Tuesday, July 31, 2012

MSANII HEMED 'PHD' SULEIMAN AMFUNGUKIA MARTIN KADINDA KUHSU MAISHA YAKE YA MAPENZI NA UTUMIAJI CONDOM...!!!


Hemed ndani ya Single Button by Martin Kadinda
---
Fashion designer & blogger Martin Kadinda alitaka kujua ni  vijana wangapi watuamiji wazuri wa condoms hasa kwa vijana maarufu. Mtu wake wa kwanza aliyekutana nae na kumuuliza juu ya suala hilo alikuwa msanii Hemed Suleiman almaarufu kama 'PHD' na alipomuuliza swali hilo akamjibu:  
"We jamaa maswali gani hayo bana? mimi kondomu za nini? muda wote mimi nakwenda dry... anakaongezea kuwa alikuwa katika mahusiano na msichana mmoja ambaye hajataka kumtaja na anasema kwa sasa wameachana imepita miezi 3... anasema aliwa kupima nae virusi vya ukimwi na walipojikuta wako safi wakaamua kujilipua kavu kavu....

Martin: Umewahi kuwa katika mahusiano na wasichana wakitanzania maarufu? 
Hemed: Marti Martin...... unauliza kengele kanisani??? unadhani kwanini naitwa Hemed PHD? nina taaluma ya kucheza na mioyo ya mabinti hawa wakibongo.... ila tatizo hawanivutii huwa napita tu kwakuwa nina hamu na wakati huo au ninakuwa sipo katika mahusiano na mtu yoyote....

Martin: Duuh kwa hiyo ushampitia nani hii..........?? na nanihiiii........??
Hemed: hilo sio swali... mpaka sasa nishawapitia 32... kwahiyo kuhusu majina katafute mwenyewe huko mtaani mbona stori zipo??

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...