
UJIO
WA TWALIBE - BONGO FLAVA RTIST. Mziki wa kizazi kipya unakua kila
kukicha, na kila leo vijana wengi wamekua wakionyesha vipaji vyao haswa
kwenye mziki huu wa kizazi kipya. Leo tumebahatika kukutana na moja ya
wasanii wenye kipaji cha kweli ''TWALIBE'' anayejitambulisha kwa Single
yake ya kwanza "NAYACHEZEA ". Single yake hii mpya imepikwa ndani
ya studio za Home town records chini ya Producers Mr.Thomas kwa upande
wa Vocals na Master Key akisimama upande wa Beat. TWALIBE ametutaarifu
kwamba video ya wimbo huu itakuwa tayari muda si mrefu kwani tayari
maandalizi yameshaanza. Kama kawaida, Blog yetu hii hutoa support kwa
vijana wanaoonyesha jitihada za dhati na kufanya kile kinachokubalika na
jamii.
Sikiliza na Ukipenda Download Wimbo Huo Hapa chini
No comments:
Post a Comment