BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Thursday, June 21, 2012

MWILI WA MTOTO MCHANGA WAKUTWA UKIELEA MTO MOROGORO


Baadhi ya wananchi na wanausalama wakiwa eneo la mto Morogoro kushuhudia tukio hilo.
Wakijiandaa kukiopoa kichanga hicho kutoka mtoni.
John Bosko Luwanda aliyekuwa mtu wa kwanza kuiona maiti ya kichanga hicho, akikiopoa kutoka kwenye maji ya Mto Morogoro.
Wakihifadhi maiti ya kichanga hicho.
John Bosco akipanda gari la polisi kupeleka maiti ya kichanga hospitali.
Wananchi waliofika eneo la tukio. 

MWILI wa kichanga chenye jinsia ya kiume jana jioni uliokotwa katika Mtaa wa Ngoma 'A' kwenye Mto Morogoro, mjini Morogoro, ukidaiwa kutupwa na mama yake muda mfupi baada ya kujifungua.
Uchunguzi wa awali umebaini kwamba mwanamke aliyefanya ukatili huo alikunywa maji ya uchungu kwa lengo la kujifungua kabla ya miezi tisa kutimia ambapo mtoto huyo alionekana kukaa tumboni kwa miezi saba au minane. 

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...