MREMBO OLIVIA MWAGARA NAE AMEJOIN SOMEWHERE BLOG!!! WELLCOME BABY GAL!
Mrembo huyu anapatikana facebook pia katika page ya UNLIMITED SWAGGAZZ, yeye hupendelea kusafiri yaani kutalii maeneo mbali mbali, pia anapenda kusoma hadithi,na mengineyo mengi msomi zaidi katika facebook yake....hapa alikuwa Forest Gate Learning Zone.....Olivia warm well come to ''somewhere Blog''!!
