BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Saturday, June 16, 2012

HIVI NDIVYO LADY JAYDEE ALIVYOSHEREKEA ‘BETHDEI’ YAKE

Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ambapo alisherekea siku yake ya kuzaliwa katika kiwanja chake cha Nyumbani Loudge, hafla iliyohudhuriwa  na watu kibao wakiwemo wasanii wa filamu na muziki.

 

i
Hapo Jay Dee akiwa ameshika cake ya birthday yake yenye umbo la kinananda, katishajee???


Hapa Jay Dee akiwaburudisha mashabiki wake



 
Hapa Jay Dee akikata cake ya birthday yake



                                                       Hapa akiwa na mumewe Gadner 

SOMEWHERE BLOG inakupa hongera sana Jay Dee kwa umri uliofikisha, na mungu akulinde ili ufikishe miaka mingi zaidi kiasi kwamba mpk meno yote yaishe mdomoni ahahha kama bi Kidude......

 

1 comment:

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...