
Party
in the Park ni bonge la part iliyofanyika Osterbay Dar es salaam
Tanzania jumamosi july 14 2012, iliandaliwa na CHOICE FM 102.6 na BLACK
ICE ambapo mambo mbalimbali yalifanyika, ikiwemo magari kuoshwa kwa
ajili ya kusaidia watoto wasio na uwezo.

Mechi
za mpira wa miguu za watu maarufu Tanzania pia zilichezwa ambapo team V
ya Vannesa Mdee iliyokua na watu kama Reuben Ndege ndio ilikua bingwa
kwenye mechi zote huku mfungaji akiwa Reuben Ndege, nahodha akiwa
Millard Ayo aliekua golkipa pamoja na Sebo mtangazaji wa Magic FM.

Reuben
Ndege Ncha kali wa SO SO FRESH CLOUDS FM alikuepo pia, alionyesha ukali
wake kwenye football japo wengi wanajua ni mkali kwenye basketball peke
yake.

Francis
Ayo, Abby mtangazaji wa Coice fm, Cindy kutoka Clouds fm, Kontar,
Tandi, Miss V na Lee kutoka 102.6 CHOICE FM Dar es salaam pia wanasikika
online.

Mwenye
T Shirt ya blue ndio Mike ambae alitoa dola za kimarekani 400 ili gari
lake lioshwe, bei ya kawaida ilikua ni elfi 30 za kitanzania lakini
akaona aongeze kwa ajili ya kuwachangia zaidi watoto.



















































No comments:
Post a Comment