
Hii ni nyumba ya BOBBY WINE na hili ni moja kati ya magari yake.

Haya ni magari ya Bebe Cool.

Hii ni nyumba nyingine anayomiliki msanii Bobi Wine.

Hii ni moja ya nyumba zinazomilikiwa na Jose Chemeleone.

Hii
ni nyumba ya Bebe Cool ambayo ameshindwa kuimalizia toka aanze kuijenga
miaka mitatu iliyopita, Bobi Wine amewahi kukaririwa akisema Bebe Cool
anashindwa kuendelea kimaisha kwa sababu ya mke wake Zuena ambae
anampasua kichwa.

Hii ni nyumba nyingine ya Bebe Cool.
Kama hukuipata hii stori ya
longtime kidogo ni kwamba According to Uganda Picks, Bebe Cool
anashindwa kuwa na majumba ya kifahari kama wengine kwa sababu ya mke
wake Zuena ambae amekua na matumizi makubwa, pia Bebe anamjengea mama
yake Zuena jumba la kifahari linalogharimu mkwanja mrefu.
Pamoja na hayo yote bado Bebe
Cool anatajwa kuwa mmoja kati ya wasanii wanaolipwa hela nyingi sana
kwenye show kwani Uganda show zake anachukua zaidi ya milioni na pia
kila mwaka huwa anaandaa East African Carnival every Easter Monday na
‘Tondeka e Kiwatule’ on Boxing day zinazomlipa pesa ndefu pia.

Jose Chameleone na wife wake.

Bobi Wine.

Bebe Cool akiwa na wife wake Zuena pamoja na Wyclef.
No comments:
Post a Comment