Pages

Thursday, April 18, 2013

BI KIDUDE AZIKWA RASMI

Mwanamuziki mkongwe, Bi Kidude binti Baraka aliyefariki dunia jana amezikwa leo mchana huko Zanzibar na katika mazishi hayo alihudhuria Mhe. Rais Dr. Ali Mohamed Shein.

No comments:

Post a Comment