MISS Ruvuma 2005 ambaye pia alipata ‘leseni’ ya kushiriki Miss Tanzania mwaka huo na asiyekaukiwa na skendo, Isabella Mpanda juzikati alinaswa akifua nguo kibao za ndani.
Ishu ya usafi huo ilikuwa Septemba 5, 2012 nyumbani kwa staa huyo 
anayewakilisha kundi la Scorpion Girls, Kijitonyama, jijini Dar es 
Salaam tena uani.
Mapaparazi wetu walitia timu kwenye makazi yake hayo kwa lengo la 
kumuuliza tetesi zilizoenea kwamba, yeye na mchumba wa mwigizaji staa, 
Jack Wolper, Dallas ni wapenzi ambapo alikanusha  vikali madai hayo.
Aidha, alipoulizwa ni kwanini anaacha nguo za ndani mpaka zinakuwa 
nyingi ndipo afue na ana muda gani hajafua viwalo hivyo, Isabella 
alifunguka hivi:
“Aaaah! Kwa kweli ni muda mrefu sana, unajua nini? Huwa navaa mpaka ichafuke nachukua mpya, ndiyo maana zikawa rundo namna hii.”
Paparazi: Huwa unavaa hadi ichafuke unachukua mpya?
Isabella: Ndiyo.
Isabella: Ndiyo.
Paparazi: Ina maana unaweza kuvaa kufuli moja kwa siku tatu?
Isabella: (kicheko), siyo hivyo jamani! We unadhani mwanamke anaweza kuvaa nguo ya ndani kwa siku zaidi ya moja, labda wanaume.
Isabella: (kicheko), siyo hivyo jamani! We unadhani mwanamke anaweza kuvaa nguo ya ndani kwa siku zaidi ya moja, labda wanaume.
Isabella alisema ana tabia ya kununua nguo za ndani nyingi, kwa hiyo 
kila siku anavuta moja mpya na kuibandika mwilini ndiyo maana anajikuta 
akiwa na mzigo wa kutosha wakati wa kufua.
Hata hivyo, licha ya kumkuta akifanya usafi wa nguo zake hizo, mrembo
 huyo alikuwa na glasi mkononi ikiwa na bia ambapo alidai ndiyo maisha 
yake ya kila siku. 
No comments:
Post a Comment