"Diamond hatunae tena"....hiyo
 ndo ingekuwa heading na kichwa cha habari cha media na watu wengi 
kwenye social networks na simu zao za mikononi kwa siku ya 
jana....Kiukweli hali yangu ilikua ni mbaya sana,nilizidiwa na homa kali
 ya ghafla iliyosababishwa na kifua kilichonisumbua kwa takribani wiki 
mbili mfululizo....hadi kupelekwa Heameda Medical Clinic kwa Doctor Hery M. Mwandolela, Specialist wa Heart and Cough
 kwa uchunguzi na vipimo vikubwa maana hali haikuwa ya 
kawaida.....namshkuru Mwenyezi Mungu baada ya vipimo vyote iligundulika 
ni kifua cha kawaida tu ila kilisababishwa na tour na ziara nyingi 
nilizozifanya mikoa na nchi mbalimbali kwa mfululizo bila mapumziko ya 
kutosha..
kwa sasa hali 
yangu si mbaya sana...nawashukuru wote mliokuwa mkiniombea kupitia 
Blogs, Twitter, Bbm, Facebook...etc, na Media zote niweze recover.
 
No comments:
Post a Comment