Pages

Tuesday, July 31, 2012

MATOKEO YA MTANZANIA AMMAR GHADIYALI KWENYE MEN'S 100M FREESTYLE SWIMMING KWENYE LONDON 2012 OLYMPICS HAYA HAPA...!!!

Hakika tunasafari ndefu ya kwenda kubeat world record ya 46.91 na ni dhahiri maandalizi yakutosha yana hitajika. Michezo ipewe kipaumbele. 

Ammaar amejitahidi sana ukizingatia ni kijana mdogo tu mwenye umri wa miaka 15 nina amini kabisa akiendelea hivi atafika mbali. 

Vijana wapo wengi wenye vipaji vya michezo je wanapewa nafasi gani katika jamii???? Vijana jitokezenii msilalie vipaji vyenu.

No comments:

Post a Comment