Pages

Sunday, June 17, 2012

LISA JENSEN AIBUKA MSHINDI REDD'S MISS WORLD TANZANIA 2012...!!!

 Mshindi wa taji la Miss World Tanzania 2012 Lisa Jensen (kayikati) akiwa katika pose na Miss Tanzania 2011 Salha Israel (kushoto), na Pendo Laizer (kulia) mshindi wa tatu  katika hafla fupi iliyomalizika jana usiku kwenye kiota kipya cha maraha cha 327,Mikocheni jijini Dar.

 

 

 Top five ndo hii hapa.....

No comments:

Post a Comment