HII NDO NDEGE, BEYONCE ALIYOMNUNULIA JAY- Z
![]() |
| According
toa MediaTakeout.com hii ndio ndege Mwimbaji Beyonce, aliyomnunulia mume
wake (Jay Z) kama zawadi ya siku ya kina baba duniani June 17 |
![]() |
| Ndani ya hiyo Private Jet ya Jay Z. |
![]() |
| Hili ni jiko lililo ndani ya hiyo ndege yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 40. |



Aminia babake!
ReplyDelete