Pages

Monday, June 18, 2012

BONDIA BENSON GITARU WA KENYA

Mkenya, Benson Gicharu, atakuwa mwakilishi wa pekee wa nchi yake ya Kenya katika mchezo wa masumbwi katika mashindano ya Olimpiki ya London mwaka 2012.
Gicharu anamiliki medali ya fedha ya mashindano ya Jumuiya ya Madola ya uzani wa fly.

No comments:

Post a Comment