Pages

Wednesday, August 1, 2012

AJALI MBAYA YA MABASI


Basi la Dar Express lililokua likitoka Arusha na basi la Simba mtoto lililokua linakwenda Tanga, yaligongana uso kwa uso eneo la Wami ambapo Majeruhi walipelekwa kwenye hospitali ya Chalinze.
.
.

No comments:

Post a Comment