WANENGUAJI EXTRA BONGO WASHINDANISHA MATITI
WANAMUZIKI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Otilia Boniface
(kulia) na Janet Tingisha hivi karibuni walinaswa wakishindanisha
matiti yao.
Ishu hiyo ilitokea wikiendi iliyopita ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza jijini Dar wakati bendi hiyo ikiwatumbuiza mashabiki wake.
Wanamuziki hao wakiwa wamepiga kambi nyuma ya steji, ndipo walipopata mwanya huo huku kila mmoja akidai yake yana mvuto zaidi ya mwenzake (angalia picha hapo juu).

No comments:
Post a Comment