Pages

Sunday, July 29, 2012

Ally Kiba na Jaffaray " Hongera Yanga kwa Kuchukua Ubingwa"

Wasanii wa bongo fleva ambao walikuwa uwanjani ni hawa hapa Jafaray na Ally Kiba, wao ni Yanga damu na leo wamekuwa watu wenye furaha sana


No comments:

Post a Comment