Pages

Saturday, June 23, 2012

WAPENZI WA NYAMA HASA MISHIKAKI KUWENI MAKINI!!

Mtu anakutwa kawaweka panya katika bakuli na anawasafisha vizuri! unajiuliza anawapeleka wapi? na ukikumbuka zaidi huyo mtu ni muuza mishikaki pale barabarani! kwahiyo? 1+1=??? TAKE CARE!!!