TAKE ONE 19/June Pt3........Katika kipindi cha Take One kinacho rushwa na kituo cha Clouds TV, Wema na Snura waongelea kuhusu urafiki wao na Mama Wema afunguka kuhusu mwanae na kutoa onyo kwa magazeti ya 'Udaku' yanyo mchafua mwanae kwamba ata kula nao sahani moja na kuwachukulia hatua za kisheria endapo watazidi kumchafua binti yake huyo.
No comments:
Post a Comment