Pages

Monday, April 15, 2013

PICTURE OF THE DAY!

Hapa Rihanna alipokuwa Uingereza kwenye tour yake,akikatiza mitaa ya UK  akiwa na body guard wake mashabiki wakitaka kumshika body guard wake ndo akamlinda kwa style hiyo ya kumshika ziwa na Rihanna anaonekana akiwa confortable kabisa! Hana wasi!......je kuna kitu kinaendelea kati yake na body guard wake????

1 comment: