Pages

Thursday, July 26, 2012

Wema Sepetu Afananisha Mpenzi yake na Diamond kama ya Criss Brown na Rihana




MSANII anayeongoza kwa ku-make headlines kwenye vyombo vya habari kila kukicha Wema Sepetu, amedai kuwa mahusiano yake yeye na mpenzi wake Nasseb Abdul ‘Diamond’, ni kama ya nyota wa marekani Rihanna na Chris Brown, huku akiamini kuwa kila kitu wanachokifanya kinakuwa kinafanana.

Wiki iliyopita Rihanna na Chris Brown, walioneka kwa nyakati tofauti huko St. Tropez, France wakila bata na kujiachia, ambapo hiyo pia imetokea kwa Wema na Diamond ambapo nao walionekana pamoja pande za Kigoma, Diamond alipoenda kwenye ziara ya Kigoma all stars inayoshirikisha wasanii wanaotokea mkoa wa kigoma.

Wema akiongea na DarTalk alidai kuwa hakuna mtu anayeweza kumfanya ashindwe kula bata na mpenzi wake huo kwani anaamini kwa kufanya hivyo ndiyo njia moja wapo ya kuwakata vilimi wale wanaozungumza mabaya juu ya mapenzi yao.

Hata hivyo mwandishi wa habari hizi, alitaka kujua mipango yao ya baadaye juu ya mapenzi yao ambapo alidai kuwa juu ya hilo hawezi kuzungumzia kwani ni miezi kadhaa walikuwa katika matatizo hivyo bado wanakula bata na watakapofikia maamuzi ya kuvishana tena pete watafanya hivyo.

“Mapenzi yetu hayana matatizo kwani wanadamu kutofautiana hiyo ni hali ya kawaida, hivyo sioni kama kuna haja ya kuongea sana, na kitendo cha sisi kuonekana pamoja sehemu za bata kuna watu inawauma na sisi hatujali kwani kila mtu ana maisha yake,” alisema Wema.

Mbali na ishu hiyo pia, mwandishi alitaka kujua tena itakuwaje kwa upande wa  Jokate, alijibu kwa upande wake hamuoni kama ni mtu wa maana kwani mapenzi yake hakuna wa kukatisha ingawa anaamini Jokate ni mtoto mdogo sana kwake.

15 comments:

  1. I have read so many articles on the topic of the blogger lovers except this piece of writing is in fact
    a pleasant piece of writing, keep it up.

    Here is my homepage - günstige krankenversicherung für selbstständige
    My blog ;

    ReplyDelete
  2. Its not my first time to visit this website, i am browsing this web site dailly
    and get pleasant data from here everyday.


    Feel free to surf to my homepage; private krankenversicherung gehalt
    Take a look at my blog ;

    ReplyDelete
  3. I pay a visit everyday some sites and sites to read articles
    or reviews, but this web site gives feature based articles.
    Also visit my web-site : online shop accessoires

    ReplyDelete
  4. We are a group of volunteers and starting a new
    scheme in our community. Your website offered us
    with valuable info to work on. You've done an impressive job and our whole community will be thankful to you.
    My site ; clicbank

    ReplyDelete
  5. Thanks for your personal marvelous posting! I certainly enjoyed reading it, you may be a great
    author. I will make certain to bookmark your blog and may come back someday.
    I want to encourage you continue your great job, have a nice morning!
    my site - voraussetzungen für private krankenversicherung

    ReplyDelete
  6. That is really attention-grabbing, You are an excessively skilled blogger.
    I have joined your rss feed and look ahead to
    searching for more of your great post. Also, I've shared your site in my social networks
    Also visit my web page :: Eilkredit ohne schufa

    ReplyDelete
  7. That is really attention-grabbing, You are an excessively
    skilled blogger. I have joined your rss feed and look ahead to searching for more of
    your great post. Also, I've shared your site in my social networks
    My page :: Eilkredit ohne schufa

    ReplyDelete
  8. Hello, i think that i saw you visited my website
    so i came to “return the favor”.I am attempting to find things to improve my web site!

    I suppose its ok to use some of your ideas!
    !

    Feel free to visit my web-site ... Private Krankenversicherung Nachteile

    ReplyDelete
  9. Informative article, just what I wanted to find.


    Look at my blog: sofortkredit ohne schufa

    ReplyDelete
  10. What's up it's me, I am also visiting this website daily, this web page is truly good and the people are in
    fact sharing nice thoughts.

    Feel free to surf to my homepage :: make money online with Clickbank

    ReplyDelete
  11. Hey just wanted to give you a quick heads up. The text in
    your post seem to be running off the screen in
    Chrome. I'm not sure if this is a format issue or something to do with browser compatibility but I figured I'd
    post to let you know. The style and design look great though!

    Hope you get the problem fixed soon. Kudos

    My blog post gesetzliche krankenversicherungen vergleichen

    ReplyDelete
  12. Saved as a favorite, I love your site!

    Feel free to visit my web blog credit card bad credit

    ReplyDelete
  13. Hey, I think your website might be having browser compatibility
    issues. When I look at your blog site in Safari, it looks fine but when opening in Internet Explorer, it has some overlapping.
    I just wanted to give you a quick heads up! Other then that, awesome blog!


    my site ... part time work at home

    ReplyDelete
  14. Could not agree more! the success of one's

    Here is my web blog billige reise

    ReplyDelete
  15. Hey, extremely Good diary!

    Also visit my page: federal direct consolidation loan -
    -

    ReplyDelete