JACQUILINE WOLPER NA WEMA SEPETU KULIKONI...???
- Yasemekeana Jacqueline Wolper amenyang'anywa gari lake aina ya x6
 
- Mmiliki halali wa nyumba ya Wema Sepetu ajulikana!!!!
 
- 
Kuna
 tetesi kwamba mwigizaji kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline 
Wolper Masawe, amenyang’anywa gari lake la kifahari aliokuwa akitanua 
nalo katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo. Habari zinadai kwamba 
Jacqueline amenyang'anywa gari lake aina ya X6 na mchumba wake baada ya 
kubaini kwamba anamcheat na mwanaume mwingine ambaye ni mfanya biashara 
maarufu jijini Dar.
Wakati
 huo huo kuna habari kwamba nyumba ambayo mrembo Wema Sepetu amekuwa 
akidai kuimiliki yenye thamani ya Tshs milliion 400 si yake bali ni ya 
muarabau mmoja ane julikana kwa jina la Ahmed amabye inasemekana yuko 
safarini Brazili kwa shughuli zake za kibiashara.
  
Wanawake wana vitega uchumi.i see wanavuna 2.
ReplyDeleteahahahah Confort kwani nyie wanaume hamna vitega uchumi?
ReplyDeletemh!
ReplyDeleteVijimambo vya manyota..
Ndio maana m2 xupo tayari kuonga penzi ila aweze kujulikana anajua atatoka 2 duu bongo noma
ReplyDeleteahahaha daah
ReplyDelete